Tigo wazindua kampeni ya wakala kinara

Usipitwe na Habari Yoyote. Install  MWANAHARAKATI MZALENDO App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi ZaidiTigo yazindua kampeni ya kufunga mwaka kwa ajili ya mawakala iitwayo Wakala Kinara. Kampeni hiyo itakayo anza rasmi tarehe 1 disemba hadi 31 disember itahusisha mshindi wa kwanza kupokea milioni 20 akifuatiwa na wa pili milioni 10. #TigoWakalaKinara


“Kama tunavyofahamu tulizindua kampeni ya ‘Kishindo Cha Kufunga Mwaka’ kwa ajili ya mteja wa Tigo pesa hivyo kampeni tunayozindua leo ni mahususi kwa ajili ya mawakala wa Tigo pesa.”‬
‪Kaimu Mkuu wa kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha‬


Kampuni ya Mawasiliano Tigo jana yakutana, yawapongeza mawakala wa Tigo pesa pamoja na kuzindua promosheni mpya ya mawakala iitwayo Wakala Kinara.Tigo yazindua kampeni ya kufunga mwaka kwa ajili ya mawakala iitwayo Wakala Kinara. Kampeni hiyo itakayo anza rasmi tarehe 1 disemba hadi 31 disember itahusisha mshindi wa kwanza kupokea milioni 20 akifuatiwa na wa pili milioni 10. #TigoWakalaKinara

Baadhi ya mawakala wa Tigo pesa wakiwa pamoja uongozi wa kampuni ya mawasiliano Tigo, baada ya kupokea tuzo za mawakala wa Tigo pesa waliofanya vizuri katika mwaka 2019.


Usipitwe na Habari Yoyote. Install  MWANAHARAKATI MZALENDO App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
Post a Comment

0 Comments