ZANZIBAR HEROES KUSHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA PEMBA COMBINENa Mwandishi Wetu

TIMU ya Taifa ya Zanzibar "Zanzibar Heroes" leo Jumatatu, Disemba 02, 2019 imeondoka Unguja asubuh kuelekea Pemba kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Pemba Combine utakaopigwa katika uwanja wa Combine, Saa 09:00 Alasiri.Zanzibar Heroes itarejea visiwani Unguja jioni ya leo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kuelekea nchini Uganda, Disemba 04 kwa ajili ya Michuano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE 2019.


Post a Comment

0 Comments