Ofisa Mtendaji wa NMB, MARK WIESSING akizungumza kuhusu udhamini wa Sh milion 50 wa benki ya NMB kwenye Programu ya Mama Shujaa wa chakula ambayo itarushwa kwenye kipindi cha Maisha Plus. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam, Monica Gorman.
Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam, Monica Gorman akizungumz wakati wa mkutana na waandishi wa habari jana
Mkurugenzi wa Maisha Plus, Masoud Ally akizungumza na waandishi wa habari jana