Warembo wakifanya mazoezi ya vipaji ambapo kesho watachuana kwenye shindano la kumsaka Miss Vipaji litakalofanyika Hoteli ya Usambara inayomilikiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba.
Washiriki hao kutoka Lindi, Mtwara, Pwani na Morogoro wakiwa katika pozi nje ya Hoteli ya Usambara.
Mwalimu wa wanyange…
picha kwa hisani ya GPL