ni Mwana FA, AY (katikati), Ommy Dimpoz, J Martins na Marco Chali wakiwa kwenye
studio za MJ Records
Mwanamuziki na producer mahiri wa nchini Nigeria,
Martins Okey Justice aka J Martins yupo nchini na amefanya collabo na Mwana FA,
AY na Ommy Dimpoz.
Inavyoonekana staa huyo amewashirikisha AY na Mwana FA
kwenye wimbo mmoja uliotayarishwa na Marco Chali kwenye studio za MJ
Records.
“Confirmed now @Realjmartins ft on @AyTanzania and @MwanaFA
New Single coming out soon,” imesomeka tweet moja.
Pia Ommy Dimpoz amemshirikisha staa huyo kwenye wimbo
wake. “Finally @ommydimpoz did the Song with @Realjmartins
(J.Martins) pic after the session,” imesomeka tweet nyingine ikiwa pamoja na
picha.
J Martins
Martins
“Just left stu got an exclusive pre listening sesh of new
@RealJMartins and @AyTanzania – INSAAAAANE #EastMeetsWest,” ametweet Vanessa
Mdee.