Mwanafunzi
aliyekuwa akisubiri kufanya mtihani wa kidato cha nne unaotaraji
kuanza kesho Bw Khamis Mkundo mkazi wa Mwangata C katika Manispaa ya
Iringa akiwa amejinyonga usiku huu kuhofu mtihani wa kidato cha nne

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwangata C Bw Sarehe Mgimwa akisoma ujumbe ulioachwa na marehemu huyu
Askari kanzu akikagua mwili wa mwanafunzi huyo
Wananchi wa Mwangata mjini Iringa wakiwa nyumbani kwa marehemu
Mwili wa kijana huyo ukitolewa tayari kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa
Mwili huo ukipakiwa katika gari la polisi |
Mwanafunzi
wa aliyekuwa akisoma shule ya sekondari Sabasaba mjini Iringa
akijiandaa kurudia kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne
kupitia kituo cha Krelluu mjini Iringa Khamis Mkundo mkazi wa
Mwangata C katika manispaa ya Iringa amejiua kwa kujinyonga kwa kamba
kwa kile alichodai kuchoshwa na kufeli mara kwa mara mtihani wa
kidato cha nne.

Katika
barua yake ndefu aliyoiandika kijana huyo amesema kuwa amefanya
hivyo si kwa kujipendea ila amechukizwa na hatua yake ya kufeli mara
kwa mara hiyo kuamua kujiua ili kuepuka na aibu katika mtihani ujao
ambao anaamini angefeli.

Shemeji
wa kijana huyo Aden Tagalile ameueleza mtandao huu kuwa tukio hilo limetokea mida ya kati ya saa
12 na saa 1 usiku wa leo baada ya kuwepo kwa mazungumzo ya muda
mrefu kwa kijana huyo kuonyesha kuchukia hatua yake ya kuendelea
kurisiti mtihani wa kidato cha nne bila mafanikio.

Kwani alisema hajapenda kuona anaendelea kufeli na kuwa yupo tayari kwa lolote kukwepa aibu ambayo ipo mbele yake.
Hata
hivyo kufuatia mazungumzo hayo kijana huyo aliangana na ndugu zake
akiwemo kaka yake anayeishi nae kwa kila mmoja kuondoka nyumbani hapo
kabla ya kijana huyo kukutwa amejinyonga.

Mwenyekiti
wa serikali ya mtaa huo Sarehe Mgimwa amethibitisha kutokea kwa kifo
hicho na kuonyesha ujumbe ambao kijana huyo ameuacha

.CHANZO MATUKIO
DAIMA
DAIMA