Na Baraka Mpenja wa Fullshangwe, Dar es salaam
MABINGWA
watetezi wa ligi kuu soKA Tanzania bara, Dar Young Africans
wamefanikiwa kumaliza mzunguko wa kwanza ligi kuu msimu wa 2013/2014
wakiwa kileleni baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Oljoro ya
Arusha, huku waliokuwa vinara, Azam fc wakilazimishwa sare ya 3-3 dhidi
ya Mbeya City.

Yanga
wamekwaa kileleni baada ya kufikisha pointi 29, huku Azam fc wakiwa wa
pili kwa pointi 27, Mbeya City wa tatu wakijikusanyia pointi 27, na
Mnyama Simba anabaki nafasi ya nne akiwa na pointi 24.

Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam, mabao ya Yanga yalifungwa na Simon Msuva
dakika 23, Mrisho Ngassa dakika ya 23 na Jerry Tegete dakika ya 53.

Huko
Azam Complex, Chamazi, hadi mapumziko, timu hizo zilikuwa
zimekwishafungana bao 1-1, Azam wakitangulia kupata bao kupitia kwa
Humphrey Mieno dakika ya 13 na Mbeya City wakasawazisha kupitia kwa
Mwagane Yeya ‘dakika ya 30.

Kipindi
cha pili dakika ya 52 Mbeya City waliandika bao la pili kupitia kwa
Yule Yule mtambo wa kurekebisha mabao , Mwagane Yeya akiunganisha krosi
iliyochongwa na Steven Mazanda, lakini John Bocco ‘Adebayor’
akaisawazishia Azam dakika ya 60 akiunganisha krosi ya Kipre Tchetche.

Mwagane
aliifungia tena Mbeya City bao la tatu katika dakika ya 73 na kuwainua
vitini mashabiki wao waliokuwepo Azam Complex, lakini dakika ya 83
Khamis Mcha ‘Vialli’ aliisawazishia timu yake bao hilo.

Picha na Bin Zubiery
Azam;
Mwadini Ally, Erasto Nyoni, Waziri Salum, Said Mourad, Aggrey Morris,
Kipre Balou, Salum Abubakar, Kipre Tchetche, John Bocco/Joseph Kimwaga
72, Humphrey Mieno na Farid Mussa/Khamis Mcha dk80.
Mbeya City; David Burhan, John Kabanda, Hassan Mwasapili, Deogratius
Julius, Yussuf Abdallah, Anthony Matogolo, Mwagane Yeya, Steven
Mazanda/Alex Sethi dk90, Paul Nonga/Francis Castor, Deus Kaseke.

Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora, Maafande wa jeshi la wananchi Tanzania
(JWTZ) waliwakaribisha Tanzania Prisons ya Mbeya na timu hizo kuchoshana
nguvu baada ya suluhu ya bila kufungana