Bw.
Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha
la Pasaka akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo ambapo amesema
utaratibu wa kuwapata waimbaji katika tamasha hilo mwaka huu waimbaji
wote watakaoshiriki watapigiwa kura na mashabiki wa muziki wa injili ili
kuleta ushindani kati ya waimbaji lakini pia kuwaachia mashabiki
wenyewe wachague ni mwimbaji gani wanamuhitaji katika tamasha hilo
badala ya kutumia utaratibu wa mwanzo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM).

la Pasaka akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa
habari kutoka TV Tumaini ya jijini Dar es salaam.

Tamasha
la Pasaka ndiyo tamasha pekee kubwa la muziki wa inijili linalofanyika
kila mwaka nchini Tanzania likishirikisha waimbaji mbalimbali kutoka
ukanda wa Maziwa Makuu, Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika na
limekuwa ni kivutia kikubwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa injili