STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’
amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa
anaacha mwenyewe.

Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa
na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao
hawaeleweki.

“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha
pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka
kurudi, sijawahi kuachwa,” alisema Shilole.