Mitandao ya habari za udaku imemwandama vilivyo diva wa filamu Bongo Elizabeth Michael aka LULU.
Lulu amejikuta katika wakati mgumu baada ya Blogu za kidaku hapa Bongo kumuandama kuwa kivazi chake kimeacha sehemu kubwa ya MATITI yake.
Na wewe follower wetu hebu toa hukumu yako katika picha hiyo: