Diamond Platnumz yuko U.S.A kwa show mbalimbali za muziki na Mheshimiwa raisi Jakaya Kikwete yuko katika safari ya kikazi nchini humo pia.
Akiwa ndani ya mji wa Manhattan jijini New York raisi wa wasafi amekutana na raisi wa taifa lake na kama ilivyokawaida ya vijana hakusita kupata picha mbili tatu ambazo alizitupia kwenye mtandao wa Instagram. Shuka nazo aisee