Mwanamuziki
zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Amini Mwinyimkuu
amefunguka kuwa, aliamua kufunga ndoa ya fasta ili kuuwahi mwezi mtukufu
wa Ramadhani.

Akizungumza
na mwanahabari wetu, Amini ambaye amemuoa binti aitwaye Farida Bashiri
alisema ilikuwa vigumu kufanya sherehe kubwa kwani lengo lilikuwa ni
kumuingiza ndani haraka mke huyo ili amuandalie futari pia.

“Ni
kweli nilioa juzi pale Magomeni Mwembechai, ilikuwa ni ndoa tu na
niliamua kufanya hivyo ili kuuwahi mwezi Mtukufu wa Ramadhani,” alisema
Amini ambaye ndoa ilimbadili jina kwa kufungishwa kwa jina la Namini
kufuata mambo ya kinyota.