Mwanamuziki hodari kunako tasnia ya muziki wa kizazi kipya , maarufu kama Bongo Fleva anayefahamika kama Linex ameposti picha Facebook akiwa kama anamnong’oneza mtu na kuandika maneno “Heheheh eti mwambiwe yule dem asiondoke lol sikua namwambia jamaa HVO bana”
Ukitazama picha na maneno jinsi yalivyokaa, lazima meno yote 32 yatabaki nje.