Mkali wa Pop na R&B Bruno Mars amepata kolabo ambayo imemuibua tena baada ya kupotea kwenye muziki kwa muda.
Wimbo unafamika kama Uptown Funk wa msanii Mark Ronson.
Icheki video hiyo ambayo ipo katika mahadhi ya Pop na najua utafurahi tuu.
© 2024 MWANAHARAKATAI MZALENDO BLOG - Developed by KONCEPT
© 2024 MWANAHARAKATAI MZALENDO BLOG - Developed by KONCEPT