Usihadithiwe mdau wangu, wamo wakongwe kama Pharrell Williums, Beyonce, Trey Songz, Chris Brown na chipukizi kama Sam Smith. Zicheki album ambazo zimewaweka mjini kwa U.S.A na dunia nzima.
Dada
lao, Bey alifanya vizuri kwenye soko kutokana na mafanikio aliyoyapata
kupitia album aliyoiita jina lake, wenyewe wanaiita ‘self titled album‘, ikiwa na nyimbo kali kama ‘Drunk in Love’ aliyofanya na mumewe, Jay Z.

Ukiachilia mbali zile noma za kukaa jela, kuzinguana na mpenzi wake Karrueche, Mahudhurio ya Mahakamani na zile adhabu za Huduma za Kijamii ambavyo vimemuweka busy mwaka mzima, ‘X’ album ya Chris Brown iliyobebwa na ‘Loyal’ na ‘Fine China’. Mauzo yake wiki ya kwanza ilikuwa copy 146,000 huku kukiwa na fununu kwamba staa R. Kelly ni kama aliweka nguvu hivi kuproduce nyimbo kadhaa kwenye albam hii.
Sidhani kama lebo ya Rapa T.I, Hustle Gang wanajutia nguvu waliyoiweka kumsimamisha Iggy
kutokana na mafanikio ambayo kayaonyesha mpaka sasa, tukianza na ule
ushahidi wa Tuzo aliyoipata ya Favorite Rap/Hip Hop Album katika Tuzo za
American Music Awards 2014.

Mafanikio sio mauzo pekee ya Album ama shows, kwa msanii Mali Music
kuchaguliwa kushiriki tuzo kubwa kama Grammy kwenye Category ya Best
Urban Contemporary Album ni mafanikio makubwa ambayo yataingia kwenye
historia ya muziki wake ambao una ladha ya pekee, mchanganyiko wa
Gospel, Soul na Hip Hop.

Msaada wa wakali kama producer Timberland na L.A Reid wakaweza kuzirudia baadhi ya nyimbo za Hayati MJ
alizorekodi kuanzia mwaka 1983 mpaka 2001 kumefanya Dunia ipokee vizuri
album yake ambayo imefanya mauzo ya copy zaidi ya mil.1 duniani kote
mpaka sasa.

‘Because I’m Happy’ hakuna ambaye hakufurahishwa na kazi hii nzuri ya Pharrell kutoka kwenye albam yake ya GIRL,
ameshakusanya tuzo nyingi lakini moja kati ya kubwa ni ile ya kupata
kutambulika kuwa ‘Hollywood Walk of Fame’ na bado anawania tuzo nyingine
6 kwenye Tuzo za Grammy.

Mbali
ya ugeni wake kwenye masikio na macho ya watu, haikuwa rahisi kupenya
na kukubalika lakini tayari kapita na moja ya mafanikio ambayo
yanazungumziwa ni yale ya Sam Smith kutajwa kuwania tuzo nyingine sita pia za Grammy, pamoja na wakongwe kama Pharrell na Beyonce.

‘Stronger’ ya Tank
imeonyesha ile nguvu ambayo anayo baada ya kutoonekana kwenye climax ya
muziki kwa kipindi kirefu akijihusisha na masuala mengine ikiwemo
kucheza movie, album hii imetajwa kushika nafasi ya 13 kati ya album 200
bora za Billboard.

Muunganiko wa Toni Braxton na Babyface umepezalisha nyimbo 11 kwenye album ya ‘Love, Marriage & Divorce’
haikuwaweka pabaya, album hii imekaa namba 4 kwenye Billboard top 200,
huku mauzo yake yakiwa ni copy laki 4 mpaka sasa ndani ya Marekani
pekee.

‘Trigga‘ ya Trey Songz
ipo pia kwenye ile chache kali, imekaa namba moja kati ya 200 kwenye
chati ya Billboard ikisaidiwa na ‘Na Na’ huku mauzo yakiwa na copy
260,000 mpaka sasa.
Mimi tayari nimezisikiliza karibu album zote hapo na wewe mdau wangu sikiliza halafu uniambie ni ipi wewe unahisi ni best kwako.