Leo ni birthday ya kaka mkubwa Joseph Haule ama Professa Jay anayetimiza miaka kadhaa hapa duniani. Na hizi ndi baadhi ya salamu za pongezi alizozipata toka kwa mastaa mablimbali wa filamu na muziki nchini.
KAJALA – Hbd kaka mkuu nakutakia maisha mema yenye baraka tele Professa Jay
JACQUILNE WOLPER . Mungu Akupe Afya Njema Na Akulinde pamoja na Kuendelea Kukupa Mafanikio,Mambo Mengi Umeyafanya Kwenye Muziki Wetu. Respect Sana. Nakukubali sana kaka yangu naunajua
FLORAH MVUNGI. Happy birthday shem akeee..Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio.. Ili your daughter cute Lisa awe Nawe siku zote…all the best..! Professa Jay
SHAMSA FORD. happy birthday kamanda wangu..mungu akupe maisha marefu yenye baraka telee star wangu number 1
DIAMOND PLATNUMZ . Naamini Nguzo, misingi, na heshima uliyoitengeneza kwenye tasnia yetu, ndio imepelekea hadi leo Muziki wetu kufikia hapa ulipo… Mwenyez Mungu akupe maisha maref, yenye furaha na baraka tele… Happy Birthday Legend Professa Jay
BATULI. Mungu ana sababu yake anapoamua kukuongezea miaka mingi ya kuishi, Kaka nakutakia maisha marefu, mema na yenye baraka tele kwako, Ibada ndio zawadi kubwa ya kumpa Mungu ili nae aendelee kukupa miaka mingi zaidi “Happy Birthday Broda” Happy Birthday Professa Jay
MWASITI . Happy bornday kaka mkubwa…live long!! Na mwenyezi akupe moyo huo huo uendelee kutupenda wadogo zako Professa Jay.
Harakti360.blogspot.com tunamtakia maisha marefu Profesa J.