Mwanadada Lulu Michael ambaye ni mwigizaji katika tasnia ya filamu Tanzania maarufu zaidi kama Bongo movies ameviteka vyombo vya habari kwa nguvu tena siku chache kabla ya kuumaliza mwaka 2014.
Lulu ametajwa na jarida maarufu nchini linalofahamika kama BaabKubwa kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Tanzania kwa mwaka 2014. Katika orodha ya kumi bora ya warembo wakali zaidi iliyotolewa na jarida hilo wapo pia Jokate akishika nafasi ya 2 huku Vanessa Mdee akikimbiza nafasi ya 3.
Bila kuwa mchoyo nimeitupia hapa orodha ya walimbwende hao ambayo imetawaliwa na wadada wa Bongo Muvie kama ilivyo katika jarida la Baabkubwa:
1.Lulu Michael ( Mwigizaji)
2. Jokate (Mtangazaji wa TV, Mwanamitindo na Mwigizaji)
3. Vanessa Mdee (Mtangazaji & Mwimbaji)
4. Brigitte Alfred (Miss Tanzania 2012)
5. Tunda (Video Vixen)
6. Aunty Ezekiel (Mwigizaji)
7. Jacqueline Wolper (Mwigizaji)
8. Irene Uwoya (Mwigizaji)
9. Irene Steven (Video Vixen)
10. Menninah (Mwimbaji)
2. Jokate Mwegelo(TV personality, designer, actress)
3.Vanessa mdee(singer, presenter)
4.Brigitte Alfred( Miss Tanzania 2012)
5.Tunda(Video Vixen)
6. Aunty Ezekiel( actress)
7. Jacqueline Wolper(actress)
8. Irene Uwoya(actress)
9. Irene Steven(video vixen)
10. Menninah(singer)
Copy and WIN :