Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.
Martin amesema alipo ongea na mtandao wa bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.
“Kwahiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story.” Martin Alimaliza.