Ali Choki na Asha Baraka wakikumbatiana kumaliza bifu lao la muda mrefu. Asha na Choki wakishow love ndani ya studio za Global TV Online baada ya upatanisho.
Choki na Asha wakiwa katika pozi na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Richard Manyota (wa pili kulia) aliyefanikisha kumalizika kwa bifu hilo. Kushoto ni Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda Sifael Pau