Mwanamuziki na muigizaji Selena Gomez ambaye anatamba na ngoma yake kali ya “Heart Wants What it Wants” amefungua mwaka kwa kupata shavu la kulipamba jarida maarufu nchini Marekani linalofahamika kama V Magazine.
Mwanamuziki huyo ambaye pia amekuwa katika vita ya mapenzi na Justin Bieber amekubali kubaki kifua wazi ili kuudaka mkwanja wa V Magazine.
Picha nyingine nyingi ziko hapa: