Lucy (kulia) mwenye asili ya kizungu na Maria mweye asili ya mtu mweusi. |
Dunia haiishiwi mambomambo, tangu picha ya watoto mapacha wenye asili tofauti ichapishwe na The Daily Mail, vyombo vingi vya habari kote ulimwenguni vimeendelea kuchimbua ukweli juu ya wasichana hao wenye umri wa miaka 17. Mtanadao wa Mail Online umefanya mahojiano na wasichana hao na wenyewe kukiri kuwa hata wanafunzi wenzao wamekuwa wakibisha juu ya ukweli kuwa wao ni mapacha.
tazama video hapa wakihojiwa: