LIVE A BETTER LIFE….. wengi wetu tumekuwa watu wa kulalamika maisha magumu,hakuna kazi na muda mwingine tunatupa lawama kwa mungu kwann amekuumba masikini lakin bila kufikilia kwann uzaliwe masikini na ukubali kufa masikini?ajila ziko nyingi sana lakin sababu ni ipi wewe ukose? ELIMU? RUSHWA ? JUHUDI? AU KUKATA TAMAA?..je tangu umeamka leo umfanya kitu gani
chamaana cha kukuingizia pesa? am sure hakuna upo eiza KIJIWENI,KITANDANI O UMEJIACHIA SEHEMU YA STAREHEE UNAPIGA PICHA then unalalamika maisha magumu…amka jitume pesa unayo tumia kuweka bando na kusoma umbea uliwahi piga mahesabu kwa week unatumia shilingi ngapi kuweka vocha katika simu yako? na hiyo pesa ukiijumlisha kwa mwezi ni shilingi ngapi? am sure ni pesa ambayo inaweza kuwa mtaji wa biashara au mwanzo wa kulipia ada ukasome kozi furani ili uongeze juudi…HAO MATAJIRI WANAO TUTENGENEZEA SIMU NA VOCHA wote walianza na 0 now wako nusu number..usilalamike maisha magumu wakati huna juudi yoyote uliyo fanya…live a better life tumia vocha yako vizuri…JE UNGEPENDA KUWA KAMA wemasepetu BASI JIFUNZE KUJARIBU KWAN HATA YEYE ALIJARIBU KUWA MISS NA HAKUWA NA MATEGEMEO YA KUSHINDA BUT LEO HII AMEKUWA TAMANIO LA WENGI….always try n never give up…..hata mm sikutegemea kama leo hii ningekuwa kipenz cha wengi but nili jaribu na nikafika…USIOGOPE ALWAYS TRY…#LIVEABETTERLIFE #BEWEMAFANYAWEMA ..