Wiki kadhaa sasa zimepita toka tuweke skendo ya Mwanamuziki Shetta Kulala Hotel na chumba Kimoja Huko Morogoro Walipokwenda Kwenye mazishi ya Abdul Bonge..
Sasa kilichofatia baada ya Skendo hiyo ni mke kuondoka nyumbani baada ya skendo hiyo kuzagaa mitandaoni na magazetini na Baada ya baadhi ya watu kumzibitishia..
Shetta mwenyewe amekiri walilala Hotel moja lakini sio chumba kimoja kama watu wanavyosema ..
Shetta kwa sasa yupo katika harakati za kumrudisha mke wake nyumbani ili walee mtoto wao amemnunulia gari aina ya Toyota Mark X lakini mkewe bado amekataa kurudi nyumbani..
shettatz” Asante Mungu kwa hichi kidogo ulichonipa Mamake Qayllah na mwanangu @officialqayllah kidogo nao wajisikie raha #StriveForGreatness #ShikoroboTourLoading “