Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya pambano la Floyd Mayweather
dhidi ya Manny Pacquiao mnamo May 2 kwenye ukumbi wa MGM Grand mjini Las
Vegas, Floyd na rafiki yake wa zamani 50 Cent wamemaliza tofauti zao.
50 Cent ameonekana kwenye picha na Floyd “Money” Mayweather Jr
waliyopiga wakati 50 Cent amemtembelea Floyd kwenye gym anayofanyia
mazoezi.
Kwenye instagram ya 50 Cent aliweka picha yao pamoja na kuandika “THE
original MONEY TEAM, you gotta love it. My brother ready, may 2 don’t
get scared now,” #FRIGO#EFFENVODKA #SMSAUDIO.