Kwa mara ya kwanza hii ilikuwa interview ambayo iliwakutanisha wa
penzi wawili kwa pamoja, Zari na mpenzi wake staa wa muziki, Diamond
Platnumz ilikuwa katika @CloudsFM na Clouds TV
Kwenye interview hiyo kuna haya majibu ya ishu ambazo huenda hukuwahi kuzisikia wakiongelea kokote
<>—Diamond Platnumz anasimulia walivyokutana na mpenzi wake Zari kwa mara ya kwanza.
Kumbe hiki ndicho kilimvutia Zari kwa Diamond Platnumz>> “Ni
mchangamfu.. anajali.. Diamond ana akili sana, nilivutiwa nae kwa sababu
ana akili sana.. anajituma sana, ni mtu mwenye malengo
makubwa..”>> —Zari.
Kwani Diamond amewahi kuonana na watoto wa Zari?? Wanamchukuliaje?
>> “Bado hawajawahi kuonana.. ila watoto wanamjua.. kama mama yao
nina furaha wao wana furaha pia>>—Zari.
Hivi ndivyo Diamond alivyomzungumzia Zari pamoja na maisha yao
>> “Anajua kuna maisha ya kwenye media na kuna maisha ya ukweli..
Japokuwa watu wanahisi vitu vingi viko kwenye public, ni uongo.. tuna
maisha ya social media na tuna maisha private..>>