Baada ya kusheherekea kutimiza miaka 26 katika siku yake ya kuzaliwa May 5, mwanamuziki nyota Chris Brown ametoa shukrani zake kwa watu watu ambao ni mama yake mzazi, mtoto wake na bila kumsahau mpenzi wake wa muda mrefu Karueche.
Kupitia mtandao wa Instagram Brown aliweka picha iliyo hapo juu na kuandika maneno haya;
“Thx for making my bday a special.. All my friends family etc.. #taurus season.. I have three special ladies celebrating this month. Mother’s Day for momma. May 17th miss you know who. And May 27 is my baby #Royalty be humble and learn that it doesn’t take effort to love! We create our own outcome and destiny in life. My paths has been a very blessed 26 years on this planet and I’m still learning. I can only be the best I can be. Sorry enough wit the rants! Love y’all! Thank god! I’m grateful and so thankful”
Wengi tulijua kuwa wawili hawa wamebwagana moja kwa moja kumbe ”zimwi likujualo halikuli likakwisa’