Maadhimisho ya Siku ya Albino yatafanyika kesho Juni 14 2015 jijini Arusha katika uwanja wa Sheik Amri Abeid na mgeni rasmi ni Mhe Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva ameshare picha katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika kuwa atakuwepo katika maadhimisho hayo yanayolenga kupinga mauji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi. Katika picha hizo alionekana kuwa na wasanii wenzake, Shilole na G Nako.
Tukutane kesho kwenye maadhimisho ya watu wenye albinism kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kuanzia saa…
Posted by A.Y on Saturday, June 13, 2015