Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye sasa ni mama, amepost picha za mtoto wake huyo wa kike aliyefikisha umri wa miezi 6.
Mobetto ambaye amezaa na Dj mkongwe nchini, Majay amepost picha za mtoto huyo Instagram na kuandika;
“Happy six month my little mermaid I love you Mwanangu #GodWin @Misfansy @Misfansy
#cutekidsclub”.
Kwenye picha nyingine ameandika; “Mapozi sasa bint Majey
@misfansy @misfansy My mermaid”.