Mkuu wa wilaya ya Tanga, Abdullah Lutavi akihutubia wakati wa uzinduzi huo. |
Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Tanga, Nassor Sisiwaya (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu |
Wadau mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi wa 4G LTE, uliozinduliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, jijini Tanga jana. |