Mshindi wa Big Brother 2014 amekuwa kwa sasa anakutana na swali kubwa kwenye mitandao tofauti ya kijamii ni kweli wameachana na Wema Sepetu.
Swali hili limeibuka baada ya staa Wema Sepetu kufutilia mbali picha za Idris Kwenye kurasa yake ya Instagram.
Haijulikani ni nani kamkosea mwenzake lakini inaonekana kuwa ni Wema ndiye aliyechukia zaidi kiasi cha kuamua kufuta picha zote za Idris alizowahi kuzipost kwenye akaunti yake ya Instagram.
Shabiki alivyomuuliza Idris Kuhusu picha zake kufutwa sasa, hili jibu alilopewa.