TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
KWA VYOMBO VYA HABARI
Dar es
Salaam, Machi 15, 2016 – Shirika la ndege la gharama nafuu Afrika, Fastjet Tanzania limeongeza
idadi ya safari zake kwenye njia yake ya
Dar es Salaam na Nairobi ikiwa ni
mwitikIo mkubwa kwa mahitaji ya abiria.

Kuanzia Machi 21 fastjet itakuwa inafanya
safari zake mara mbili kwa siku kwenda na kurudi kati ya miji hiyo miwili kila siku
ndani ya wiki na hivyo kufanya safari zake kuwa ni 28 kwa wiki kati ya Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na Uwanja wa Kimataifa wa
Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

Shirika hilo ambalo hadi sasa linafanya safari moja kila siku kati ya miji hiyo miwili, limeongeza masafa
yake ya kuruka ili kuwapatia abiria
huduma nzuri nyakati za asubuhi na jioni.

Kwenye safari ya asubuhi, ndege itakuwa
inaondoka Dar es Salaam saa 12.00 na kutua Nairobi saa 1.20. Aidha, safari ya
kurudi itaanza saa 1.50 na itatua Dar es Salaam saa 3.15.

Aidha, safari mpya za jioni ndege itakuwa
inaondoka Dar es Salaam saa 2.15 na
kutua Nairobi saa 3.35. Safari ya kuridi ndege itaondoka Nairobi saa 4.05 na
itatua Dar es Salaam saa 5.30.

Kupanuka kwa ratiba hiyo kutawezesha kusafirisha
takribani abiria 19,000 kila mwezi kupitia safari za fastjet kati ya hiyo miji miwili, na hivyo kuwapa
wasafiri njia nzuri zaidi na mbadala wa
safari kwa nauli wanayoimudu.

“Kila mara tumekuwa tunaahidi kuongeza masafa yetu ya njia yetu kati ya Dar es salaam na Nairobi
kutokana na mahitaji ya wateja kuongezeka kunakosababisha na nauli wanayoimudu,
usalama, kasi na huduma kwa wakati,” alisema Meneja Mkuu wa Fastjet Tanzania,
John Corse.

Aliongeza: “Idadi ya watu jijini Dar es
Salaam na Nairobi kwa pamoja ni zaidi ya milioni themanini ambao wengi wao walishindwa kusafiri kwa
ndege kutokana na ukubwa wa nauli na
hivyo tunaamini iliwatenga sehemu kubwa ywa watu dhidi ya usafiri wa anga
lakini hivi sasa wana chaguo la ndege la uhakika na wanalolimudu.”

Corse anabainisha kuwa tangu fastjet
ianze kufanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Nairobi inakadiriwa
kuwa theluthi moja ya abiria wake ni
mara yao ya kwanza kutumia usafiri
huo ambao vinginevyo walikuwa
wanashindwa kumudu nauli ya kusafiri kwa njia ya anga kati ya miji hiyo miwili.

“Kutangazwa kwa safari 14 za ziada kwa wiki
ikiwa ni miezi miwili tu baada ya fastjet kutangaza kuanza kwa safari za anga
kati ya nchi hizi mbili Januari 11, 2016
kunaonesha msisitizo wa kuongezeka kwa idadi ya wateja ambao wanaweza kuifikia
usafiri wa anga wanaoumudu. Kwa hakikika hili linaonesha matokeo chanya kwenye
maisha ya wananchi na hali kadhalika kwenye kukua kwa uchumi baina ya nchi hizi
mbili,” alisema Corse.

Tiketi kwa ajili ya safari hizo za
ziada kutoka Dar es Salaam tayari ziko
kwenye mauzo ambapo nauli inaanzia shilingi 168,000 za Tanzania kwa safari moja
(bila kodi ya shilingi 102,900) kwa kuondokea Tanzania, ambapo fastjet
inashauri abiria wake kukata tiketi zao
mapema kwa ajili ya siku wanayotaka kusafiri ili kunufaika na nauli zake za
chini na nafuu.

Aidha, tiketi kwa ajili ya safari hizo za
ziada kutoka Nairobi nazo tayari ziko kwenye mauzo, nauli zinaanzia kwenye dola za Marekani 120 kwa njia moja (bila kodi ya dola za Marekani
40) kwa kuondokea Kenya, na vile vile fastjet inawashauri abiria kukata tiketi mapema kabla ya siku ya kusafiri ili kunufaika na
tozo hiyo ya nauli ya chini.

“Safari za ziada za kurudi jioni inamaanisha
kwamba abiria wanaweza kupanga ama wakutane Dar es Salaam au Nairobi, na
kusafiri hadi kwenye maeneo yao jijini na kurudi nyumbani siku hiyo hiyo,”
anasema Corse na kuongeza, “njia hii na chaguo hili sahihi ni muhimu kwa abiria
ambao ni wafanyabiashara ambao wanakuwa kwenye shinikizo la kubana muda na
kuokoa gharama, na ambao hawataki kulala
nje ya maskani yao kwa siku moja au mbili.”

Matokeo ya safari za fastjet kwenda na kurudi nchini Kenya tayari ni makubwa ; ambapo Corse anadokeza
kuwa siku ambayo fastjet ilitangaza kuwa
itaanzisha safari za anga kati ya Tanzania na Kenya kwa bei nafuu ilisababisha
mashirika pinzani ya ndege kushusha nauli zao kwa asimilia 40.

“Kimsingi ukweli unabakia kwamba ushindani ni
mzuri kwa wateja. Huwapa chaguo na
husababisha nauli kushuka. Nauli wanayoimudu kunafanya iwe rahisi kwa
wajasiriamali wengi, watalii na wageni wengine
kusafiri kati ya Tanzania na Kenya,” alisema Corse.

Hali kadhalika kitu kingine kilichopo
kwenye njia hizi mbadala ni kuboresha mizigo inayobebwa na abiria wa fastjet,
ikijulikana kama ‘Freighty’ ambayo inamruhusu abiria kusafirisha
hadi kilo 80 kwenye mabegi yaliyokaguliwa kwa shilingi za Tanzania 84,000. Njia hii mbadala
kimsingi imekuwa maarufu miongoni mwa
wafanya biashara wanaosafiri na fastjet kwenye kununua bidhaa za jumla za kimataifa kwa ajili ya kwenda kuuza kwenye masoko yao
ya nyumbani.

Ukataji wa tiketi unaweza kufanyika kwa
njia ya mtandao www.fastjet.com, kupitia
wakala wa usafiri aliyethibitishwa
na fastjet au kwa kuwasiliana na
fastjet kwa njia ya simu +255 784 108
900. Malipo kwa ajili ya tiketi yanaweza
kufanyika kwa fedha taslim, kwa njia ya mtandao au malipo kwa njia ya simu za
mkononi.

Mwisho
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na:
Judith Shao-Frontline Porter Novelli
+255-658-870-116/+255-658-870-114
Email: Judith@frontline.co.tz