Dar es Salaam, Aprili 4, 2016 -Fastjet
Tanzania imesitisha safari zake kati ya Kilimanjaro na Nairobi.

Fastjet
ilikuwa ikifanya safari kutoka Uwanja wa
Kimataifa wa Kilimanjaro kwenda Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi
mara mbili kwa wiki siku za Ijumaa na Jumapaili.

Kusitishwa kwa
safari kwenye njia hiyo kunatokana na kuwepo mahitaji haba ya abiria kwenye
masoko yote mawili ya Kilimanjaro na Nairobi hali iliyosababisha kutokuwa na
manufaa kibiashara.

Shirika hilo
limeeleza kuwa lengo lake ni kuhakikisha
linarudisha safari hizo kati ya Kilimanjaro- Nairobi pindi tu na wakati ambapo
wateja wataihitaji.

Safari za
fastjet kutoka Dar es salaam na
Kilimanjaro kwenda Nairobi zilianza Januari 11, 2016.

Mahitaji ya abiria kwa safari hizo ambazo kwa kiwango kikubwa ni za kibiashara
kati ya majiji ya Dar es Salaam na
Nairobi ambayo kwa pamoja yana idadi ya watu ambao ni zaidi ya milioni
nane yamekuwa makubwa na kuifanya fastjet
hivi karibuni kuongeza safari zake
kwenye njia hiyo ili kukidhi mahitaji makubwa ya abiria.

Fastjet kwa hivi sasa inafanya safari mbili za kwenda
na kurudi kati ya miji hiyo kila siku
ndani ya wiki na hivyo kufanya jumla ya safari zake kwa wiki kati ya Uwanja
wa Kimataifa wa Dar es Salaam na Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta kuwa ni 28.

Mtiririko mpya wa safari unawapatia wateja
huduma sahihi mapema nyakati za asubuhi na
jioni na matokeo ya ratiba hiyo ni kuwepo kwa takribani viti 19,000 kila mwezi kwenye safari hizo
kati ya majiji hayo mawili na hali kadhalika kuwapatia wateja mbadala sahihi wa kusafiri kwa nauli
wanayoimudu.

Nauli za fastjet kimsingi ni za chini
ikilinganishwa na tozo za mashirika mengine ambayo kwa sasa yanafanya safari
zake kati ya Kenya na Tanzania.

Nauli kutoka Tanzania kwenda Kenya zinaanzia shilingi 176,000 kwa safari moja,
bila kodi ambayo ni shilingi 107,800 kwa kuondokea Tanzania na dola 40 kwa kuondokea Kenya, na hivyo
fastjet kuwashauri abiria kukata tiketi zao mapema kabla ya siku ya kuanza
safari ili kutumia fursa hiyo ili kufaidi na nauli ya chini.

Nauli kutoka Kenya zinaanzia dola za Marekani
120 kwa safari moja zikijumuishwa kodi za serikali ambayo ni dola 40 kwa
kuondokea Kenya.

Matokeo ya safari
hizi kati ya Nairobi na Dar es Salaam yamekuwa ni makubwa kutokana na ukweli
unaojidhihirisha kwamba nauli kwenye mashirika shindani yanayofanya safari kati
ya nchi hizi mbili zimeshuka kwa kiwango cha asilimia 40 tangu fastjet ianzishe
safari zake.

inasisitiza kwamba kupunguza mtiririko
wa safari kwenye njia kati ya Nairobi na Kilimanjaro kunafungua fursa ya kuongeza uwezo zaidi kwa njia zilizopo
kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na hali kadhalika kuwepo uwezekano wa
kufungua njia nyingine mpya siku za karibuni.

Mwisho