Wasanii Vanessa Mdee na Juma Jux wakiimba pamoja kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa jana |
Chege akiburudisha maelfu ya mashabiki na wapenzi wa muziki mkoani morogoro katika Jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Morogoro |
FID Q akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro. |
Mkali wa Dansi Christian Bella akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro usiku wa jana. |
Msanii Manfongo akiwasha moto kwenyetamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. |
Mr Blue katika ubora wake akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Morogoro katika uwanja wa Jamhuri |
Mkali wa Singeli akitoa burudani kwa mashabiki wake na wapenzi wa burudani walijitokeza katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro |
Mh. Temba akiwapagawisha wakazi na mashabiki wa mziki toka Morogoro katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana |
Vanessa akiwa na wacheza shoo wake katika kulivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri Mkoani |