Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Akimkabidhi zawadi ya Tiketi ya basi Bw.
Charles
Alfred (katikati) ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca anayeshuhudia ni Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya Ngorika Joyce
Assenga mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam.
|
Meneja wa Masoko wa Benki ya Finca Microfinance Bw. Nicholous John, akifurahi jambo na Adam Jumanne wa pili kutoka kulia akipokea zawadi kwa niaba ya Miriam Masanje ambaye ni mshindi wa Bahati nasibu inayoendeshwa na Benki hiyo inayoitwa Fika Na FInca Mtaalamu wa Masoko wa Benki ya FINCA Bw. Noel Mulumba (katikati) na mwishoni kulia Afisa Usafirishaji wa mabasi ya kampuni ya New Force Masumbuko Masuke mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Finca Jijini Dar es salaam. |
|