Timu ya Taifa Senegal yatolewa kwenye Hatua ya 16 Bora ikiwa ianawania ushindi wa kufuzu Hatua ya Robo Fainali AFCON 2023 dhidi ya wenyeji wao Ivory Coast, kufuatia kutoa sare ya 1-1 iyowapeleka hadi hatua ya mikwaju ya penati ambapo mpinzani wake alishinda Penati 5 wakati Senegal alipata 4.
Senegal imeshindwa kuwa mtetezi wa Kombe hilo msimu huu.Ivory Coast inafanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali hivyo ikimsubiri mshindi wa kucheza nae kwenye mechi ya Mali Vs Burkina Faso.
#KonceptTvUpdates