Katika hali ya kuonesha utofauti na kuonesha ukubwa wa mkoa wa Mbeya katika kuzalisha mazao ya chakula na biashara.
Wananchi wa Mbeya walimpokea Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kwa kumpandisha kwenye gari aina ya Land Rover lililobeba Mazao mbalimbali ya chakula na biashara.
Huu ni muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 Back To Back na huu ukiwa ni mkoa wa 15.
#KonceptTvUpdates