#Riyadh; Kijana anayefanana na Ronaldo ashika vichwa vya habari mjini Riyadh, na kusababisha tafrani miongoni mwa wenyeji!
Mashabiki wengi wameonekana kuvutiwa na kupenda nafasi ya kupiga picha nae, kwa kumshuhudia pacha huyo wa Cristiano Ronaldo kwa ukaribu zaidi.
Je, kwa upande wako, kweli unaona jamaa amefanana na Ronaldo ama?
Tupe maoni yako kuhusiana na hili!
Credit: @Wealth
Videoby: @gokmenakdogan