Bassirou Diomaye Faye ni mwanasiasa wa Senegal ambaye ni Rais mteule wa Senegal. Ameshinda uchaguzi wa urais wa 2024 wa Senegal badala ya mgombea aliyeondolewa Ousmane Sonko.
Alizaliwa: 1980 (umri wa miaka 44), Ndiaganiao, Senegal, kapata Elimu yake ya Chuo Kikuu Cheikh Anta Diop (UCAD).
Faye anaandika historia ya kuwa Rais mwenye umri mdogo zaidi Afrika.
#KonceptTvUpdates