Afisa Habari na Mawasiliano wa Young Africans SC, Ally Kamwe ameujuza umma kuwa Kilele cha Siku ya Mwananchi itakuwa ni Agosti, 4 Mwaka huu.
“Tarehe 4 Agosti 2024 ndio kilele cha siku ya mwananchi katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Tutakwenda kutangaza tunafungulia wapi na kampeni zetu zitagusa maeneo gani” Ally Kamwe
Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry
#koncepttvupdates