Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzaia Jumatano ya Julai 3, 2024 saa 6 Usiku.
Bei hizo zimeelezewa kama ifuatavyo;#BEI : EWURA Yatangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta mwezi Julai 2024 Pakua: ✓ ewura.go.tz/fuel-prices/#beikikomoJulai2024 #beizamafuta #capprices #petrolprice #petrofuel #fuel #Petrol #price Chanzo; Ewura #KonceptTvUpdates