Simba SC imetangaza kuwa imefanikisha kuinasa saini ya beki wa kati Abdulrazack Mohamed Hamza na kumpa mkataba wa miaka miwili akitokea Super Sport ya Afrika Kusini.
Beki huyo raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 21 aliwahi kuvitumikia klabu kadhaa za hapa nyumbani ikiwemo Mbeya City, KMC na Namungo FC.
#KonceptTvUpdates