Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amewataka watumishi wanaopewa nafasi ya kusimamia miradi kuhakikisha wanamaliza kwa wakati uliyopangwa kwani wananchi wanasubiri huduma hizo.
Amesema hayo leo akiwa kwenye Ukaguzi wa mradi wa Maji Bangulo Ilala Mradi Wenye thamani shilingi Bilioni 39 na ujazo wa Lita Milioni 9 ambapo utakapokamilika utahudumia watu zaidi ya Laki Nne .
#KonceptTvUpdates