Kikosi cha Simba SC kimeondoka hapo jana jioni kuelekea nchini Misri kipindi hichi kabla ya msimu mpya kuanza kwaajili ya maandalizi ya Michuano ijayo katika Ligi Soka Tanzania Bara.
Haya hapa majina ya sehemu ya kikosi kilichofanikiwa kuondoka, huku baadhi wakisalia bado wakifuatilia taratibu za vibali vyao (Passport)..
𝐌𝐀𝐊𝐈𝐏𝐀
Ally Salim
Hussein Abeli
𝐌𝐀𝐁𝐄𝐊𝐈
Che Fondoh Malone
Chamou Karaboué
Abdulrazack Hamza
Hussein Kazi
Shomari Kapombe
Mohammed Hussein
Valentin Nouma
𝐕𝐈𝐔𝐍𝐆𝐎
Augustine Okejepha
Yusuph Kagoma
Fabrice Ngoma
Debora Mavambo
Jean Charles Ahoua
Omary Omary
Joshua Mutale
Edwin Balua
Ladack Chasambi
Salehe Karabaka
𝐖𝐀𝐒𝐇𝐀𝐌𝐁𝐔𝐋𝐈𝐀𝐉𝐈
Freddy Michael Kouablan
Valentino Mashaka
Steven Dese Mukwala
𝐁𝐄𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈
Fadlu Davids HEAD COACH
Darian Wilken Assistant Coach 1
Seleman matola Assistant Coach 2
Mueez Kajee – Video Analyst
Riedoh Bardien– Physio
Wayne Sandilands-GK Coach
Wachezaji hawa pamoja na Makocha ambao vibali vya vimechelewa watajiunga na Team ikiwa Misri Julai 10:
Ayoub Lakred
Israel Mwenda
Mzamiru Yassin
Kibu Denis