Kampuni ya Mawasiliano nchini Vodacom Tanzania kupitia Programu yake ya Vodacom Digital Accelerator imewatangaza washindi watatu bora wa Msimu wa 3 wa programu hio.
Washindi hao ni,; Lusekelo Nkuwi, Frank Mussa, na Rose Funja! kupitia Ubunifu wao wa —GO GO App kwa msaada wa dharura barabarani, Mkanda Salama kuzuia kuvuja damu nyingi baada ya kujifungua, na AltitudeX kwa kuboresha kilimo kwa kutumia ndege nyuki (drones).
#KonceptTvUpdates