Mamlaka za nchini Marekani simemtambua Kijana Thomas Matthew mwenye umri wa miaka 20 kuwa ndiye ambaye amempiga risasi Donald Trump wakati akibutubia mkutano wa hadhara Mjini Butler.
Thomas Matthew alitumia bunduki aina ya AR-15 kumpiga risasi Trump.
Thomas alipigwa risasi na kuuawa baada ya kutekeleza jaribio lake la kutaka kumuua Trump na kufeli.