Baada ya Mwananchama wa Yanga, Jumaa Magoma kuwajibu viongozi wa Yanga kuhusu sakata lake la kupeleka kesi Mahakamani. Hivi sasa mzee huyo ambae amemgeukia Mtangazaji Nguli wa michezo nchini Maulid Kitenge.
“Maulid yule ni Yanga tatizo mjinga mjinga yule mtoto afanyi kazi kwa uweledi. Hata mahojiano yake yapo hovyo hovyo mwache apande ndege tu mara kwenda Marekani basi lakini sio mambo ya Yanga”