Tarajia Video Ya Ngoma Ya ‘KOMASAVA’ Kutoka Kwa Star Wa Muziki Duniani SIMBA Diamond Platnumz Baada Ya Mashabiki Wengi Duniani Kuonesha Kuwa Na Kiu/ Uhitaji Wa Video Ya Wimbo Huo Unaofanya Vizuri Kimataifa Kwa Sasa .
Diamond Amedokeza Ujio Wa Video Ya Ngoma Hiyo Kupitia IG Story Yake Kwa Kuandika ‘KOMASAVA VIDEO’, Bila Ya Kutaja Tarehe Rasmi Ya Video Hiyo Kutoka Lakini Ni Hivi Karibuni .
Komasava Ni Wimbo Pendwa Kwa Mashabiki Wa Muziki Mzuri Ulimwenguni Na Hata Mastaa Wa Mpira, Filamu Na Muziki Kama Vile Chris Brown, French Montana, Swae Lee, Gims Na Wengine Kibao Ambao Walionekana Wakiucheza Wimbo Huo.