Klabu ya Simba yaripoti kuwa imekamilisha maandilizi ya Pre season sasa ipo tayari kurejea nchini kwaajili ya Simba Day na kuendelea na Michuano ya msimu mpya.
Katika mechi zake iliyoshiriki imeweza kuibika ushindi na kuifanya klabu hio kuimarika zaidi.
“Pre Season 2024 imekamilika vyema. Tukutane kwenye #SimbaDay2024″- Simba SC
Mchezo wa mwisho wa Pre Season 2024 tumemaliza kwa ushindi.Mjumbe wa Bodi, Crescentius Magori akikabidhiwa tuzo na kiongozi wa Al-Adalah Football Club baada ya mchezo kumalizika.