Ameandika Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally
Hauhitaji muda mrefu ili kuwa na Tamasha zuri unahitaji muda mchache uliopangiliwa vizuri kama tulivyofanya sisi.
Hauhitaji MCs wengi ili uwe na sherehe nzuri unahitaji MC mmoja mwenye uwezo mkubwa kama nilivyo Mimi
Hauhitaji Wasaniii wengi ili uwe na Tamasha bora unahitaji Wasanii wachache waliobora na uwezo mkubwa kama wale tuliowatumia sisi
Mtaendelea kuandaa Matamasha Mabovu na Mabaya kwa sababu mnataka kushindana baadala ya kujifunza. Ubaya Ubwelaaaaaaaa.