Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) chalaani kitendeo cha udhalilishaji na ukatili wa kijisinsia kufuatia video iliyosambaa mitandaoni iliyomhusisha mwanamke anayesemekana anaishi eneo la Yombo Dovya Dar es Salaa, akifanyiwa vitendo vya hivyo vya udhalilishaji na ukatili wa kijinsia.